Wacha kukatisha watu tamaa
Wengi tu wanafanikiwa na wako inspired kwa kusoma na kupitia vitabu mbalimbali
Mimi tu nimejianzisha biashara na inaenda vizuri baada ya kusikiliza speech za waliofanikiwa katika ujasiliamali
Ukishindwa wewe ni wewe na sababu zako huko, tafadhali pambana na hali yako!
Unapotosha!Rudia kusoma nilicho andika nazani umeanza na Comment. sasa rudi ukasome kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kujikanyanga!Hakuna nilipo sema ukisoma vitabu huwezi fanikiwa, shida zenu huwa mnakurupuka ku coment bila kusoma. huna tofauti na wale walio saini mikataba ya madini wao walisaini bila kusoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
mtu anaweza kujikana baada ya kuwa motivated kwa kusikiliza mtu aliyefanikiwa alitumia mbinu gani hadi kufikia kujikanaUnaweza kuwa umeshajikana mwenyewe bila kujua.
Wapi nimesema ni uongo? sema hujaelewa chochote.Wacha kujikanyanga!
Umesema hizo stori zote ni uongo, sasa mbona unajikana mwenyewe
Mimi nimefanikiwa na kuwa inspired kupitia hizo vitu unazozipinga!
D.A "Mwanaume mashine"
Hahahaa nimeshindwa nini? Hahaha nenda hadi Brela natambulika kule. Hujaelewa ninacho sema.Unapotosha!
umeshindwa wewe peke yako kufanikiwa
D.A "Mwanaume mashine"
Kama mada hujaelewa bora kukaa kimya, sio kila kitu lazima uchangieWacha kujikanyanga!
Umesema hizo stori zote ni uongo, sasa mbona unajikana mwenyewe
Mimi nimefanikiwa na kuwa inspired kupitia hizo vitu unazozipinga!
D.A "Mwanaume mashine"
Hizi post watu some time huanza kwa coment bila kusoma ndo shidaMtoa Mara ana jambo la msingi sana katika hoja yake. Tuwe watu wa kuheshimu mawazo ya wengine.