Motivational quotes

Motivational quotes

IMG-20221201-WA0050.jpg
 
Yaliyosazwa na tunutu yameliwa na nzige, yaliyosazwa na nzige yameliwa na parare na yaliyosazwa na parare yameliwa na madumadu yoel 1:4

Kazi ya tunutu ni kula matunda akimaliza matunda huondoka, kazi ya nzige ni kula majani furaha yake auache mti hauna jani na mkame, kazi ya parare hula magome ya miti furaha yake auchune ubaki kama hauna nguo uwe uchi kabisa na kazi ya madumadu yeye hula gogo hadi kwenye shina.

Yawezekana miaka yako ya uhai imeliwa lakini Nina habari njema mizizi yako bado I hai na kutokea huko utachipuka tena, NAYE BWANA ATAKUREJESHEA MIAKA YAKO KWA KWANZA NA KUKUTIBU TANGU KWA MADUMADU, PARARE, NZIGE NA TUNUTU.

Mti wako utakuwa wa kusitawi sana na Yale matunda 9 ya galatia 5 yataonekana kwako na karama 9 za 1wakoritho 12 zitaonekana utakua kama mpera wa kuning'iniza matunda haya mazuri.
 
👆🏿👆🏿 The woman in the picture with a smile is Salwa Hussein, the woman without a heart in her body, a rare case in the world as she carries her artificial heart in her bag. The British newspaper, ‘Daily Mail’ reported that Salwa, aged 39 is the mother of 2 children. The bag containing her heart is always with her and has a device with 2 batteries weighing 6.8kg. It is an electric monitor and a pump. The batteries help push the air into the plastic bag into the patient’s chest through attached tubes for blood circulation... seeing that smile on her face makes me wonder, am I weak in faith? Have I shown enough gratitude to God? Do I really have a problem? Have we ever stopped to count the countless mercies bestowed upon us by our creator? Can We praise Him enough? He indeed is most compassionate, most merciful, most loving, most caring.... let’s thank Him at least for good health and pray that we pass every exam He set for us in many ways. Let us sincerely thank God God I thank you for your mercies towards me
 

Attachments

  • IMG-20221211-WA0140.jpg
    IMG-20221211-WA0140.jpg
    36.6 KB · Views: 25
.
 

Attachments

  • VID-20221216-WA0135.mp4
    8.9 MB
Back
Top Bottom