Motivational quotes

Motivational quotes

FB_IMG_1661211315227.jpg
 
arehe 11 February 1990 Katika jiji la Tokyo, Japan kulitokea tukio ambalo lilijenga historia duniani.
Hii ilitokana na pambano kubwa la masumbwi lililofanyika kati ya Mike Tyson na Buster Douglas.
Wakati pambano hili linafanyika Tyson alikuwa ni bondia wa kuogopwa na...
...wa kutisha ambaye alikuwa akishinda kwa KO katika kila pambano lake lililopita...
...hivyo kila mtu hakuwa na shaka kuwa Tyson angeibuka mshindi kabla raundi tatu hazijamalizika kama iilvyokuwa kawaida yake.
Mara baada ya kuanza pambano kama kawaida Tyson alitumia uwezo wake na nguvu zake kumshambulia adui yake kwa nguvu na...
...kwa masumbwi makali akitarajia kumuangusha na kumshinda katika raundi za mwanzo.
Cha kushangaza hadi raundi ya nane inafika mpinzani wake alikuwa bado amevumilia na bado anaendelea kupigana.
Ilipofika raundi ya nane Tyson alimpiga ngumi ya katafunua (Uppercut) mpinzani wake na alianguka kwa anguko ambalo hakuna mtu alitarajia atainuka tena.
Lakini wakati Tyson anaanza kufurahia kuwa ameshinda, akashangaa Buster Douglas anainuka na...
...akaja na nguvu mpya na ilipofika raundi ya 10 akamshinda Tyson kwa KO na kuweka historia kuliko matarajio ya watu wengi.
Miaka 25 baadaye, Douglas alihojiwa na kuulizwa ni nini kilimfanya ashinde pambano lile...
...majibu yake yanatoa funzo kubwa sana.
Anasema wakati amesaini kupigana na Tyson mama yake alikuwa anaumwa sana na...
...kabla tu ya pambano alifariki na kabla hajafariki alimwambia kuwa zawadi kubwa anayoweza kumpa ni kumshinda Tyson.
Lakini pia, kipindi anaenda kupigana na Tyson alikuwa ametoka kuachana na mke wake na...
...maisha yake tya kifedha yalikuwa na hali ngumu sana, hivyo kumshinda Tyson ilikuwa ni fursa muhimu kwake kubadilisha maisha yake.
Hivyo ushindi wake ulianzia kwenye “SABABU” hizi.
Douglas anasema ili ufanikiwe hata pale watu wanapofikiri hauwezi kufanikiwa, kitu cha kwanza ni kuwa na sababu (why) yenye nguvu kuliko...
...kuanza kuwaza utafanikiwa kwa namna gani (How).
Ili mradi sababu yako (Why) ina nguvu basi namna (How) lazima itapatikana.
Lakini pia, wakati ameanguka chini na akaona kuwa kama ameishiwa nguvu kabisa za kuinuka tena, maswali mengi yalipita ndani yake.
Je,niendelee?
Lakini mbona nimeishiwa nguvu?
Hata hivvyo nimejitahidi nimepigana hadi raundi hii nikiacha hapa nimefanikiwa pia n.k
Lakini mara baada ya kukumbuka sababu yake (why) akaamua kuamka kuendelea bila kujali atashindaje (how).
Douglas anasema mara baada ya kuamka aliona macho ya Tyson yakikata tamaa kwani hakuamini kama anaweza kuinuka tena; na kwa maelezo yake anasema hapo ndipo alipomshinda Tyson.
Kwenye maisha huwa tunapita katika majira kama haya ambapo inaonekana kama yanayotukabili ni mazito kuliko tunavyoweza kuyashinda...
...matokeo yake tunakata tamaa kwani kila mtu anatuambia hatutaweza.
Lakini tusichojua ni kuwa kama tutapata sababu nzito inayotusukuma kuiishi ndoto yetu...
...hatutajali changamoto zinazotukabili.
Je, una sababu nzito (why) inayokusukuma kuiishi ndoto yako?
Kumbuka uzito wa SABABU yako ndio itajulisha kama utafanikiwa ama la.
Lakini pia, tunapokuwa tumeanguka chini kiuchumi, kibiashara, kimahusiano, kielimu na tunaona kama vile hatuwezi kuinuka tena.
Huwa maswali mengi yanapita katika katika akili yetu - Hivi itawezekana tena?
Si bora niache tu, nimejaribu kila namna imeshindikana, sitaweza kuinuka tena, kwa kweli nimeishiwa nguvu na kila mtu anajua hilo n.k.
Tusichojua ni kuwa kama ilivyokuwa kwa Douglas, mara tutakapoamua kuinuka wakati bado maumivu ni makali na hali inoenekana imeshindika...
...ndivyo Tyson wetu atakavyokata tamaa ya kuendelea kutushinda.
KUMBUKA: Ushindi wako uko kwenye uwezo wako wa kuinuka na kuendelea pale ambapo kila mtu aliona kwamba hautaweza kuinuka na kufanikiwa tena.
Leo, Usikubali kuogopa kumkabili Tyson wako, Usikubali Kubakia chini baada ya kuangushwa na changamoto zako.
Hata kama bado maumivu uanyasikia,bado nguvu hazijarudi, Inuka na uanze upya kuifukuzia ndoto Yako na utashinda.
Inawezekana.
See You At The Top
Joel Arthur Nanauka
 
.
 

Attachments

  • FB_IMG_1665072317120.jpg
    FB_IMG_1665072317120.jpg
    15.7 KB · Views: 39
Law 1: Never Outshine The Master

Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please or impress them, do not go too far in displaying your talents or you might accomplish the opposite – inspire fear and insecurity. Make your masters appear more brilliant than they are and you will attain the heights of power.
King Louis XIV and his Finance Minister Fouquet
In 17th century France, Finance Minister Nicholas Fouquet had spent enormous sums in building a magnificent château on his estate of Vaux-le-Vicomte. He then threw a lavish party to show off his connections, cultivated manner and charm. Thinking this move would make him an indispensable asset to the king, Fouquet had actually offended his master who did not like the fact people were more charmed by his finance minister than by him. He unintentionally outshone his master, King Louis XIV, making the King feel insecure. In 1661, at age 23, Louis XIV visited Vaux-le-Vicomte, the country estate of his finance minister, Nicolas Fouquet, and was outraged by its magnificence. The King found a convenient excuse to get rid of Fouquet who then spent the next 20 years of his life in prison. King Louis XIV went ahead to build Palace of Versailles which was much more grander and lavish than the Chateau built by Fouquet to display his charms and connections.

How Galileo used the Law in his favor?
Galileo was clever in observing this law by giving glory to his patrons. In order to solve his perennial problem of funding, he dedicated his discovery of the moons of Jupiter to the Medici, since the royal symbol of the Medici family was the planet Jupiter. He then commissioned an emblem for them, with each moon representing one of the sons who revolved around the patriarch. The Medici family became his major patron, appointing him their official court mathematician and philosopher, thereby giving him a more comfortable life and a steady salary.

Lesson:
• Present your ideas in a way that they echo your boss’s thought
• Act less smarter than your boss
• Do not take your position at work or in life for granted
• Always make sure to make it seem like you want to seek the superior's expertise and advice. Discreet flattery is very powerful.
 
Back
Top Bottom