Watu wengi wakifanikiwa uanza kuwa motivational speaker,na wanatengeneza story ili wauze wapate pesa zaidi kwa wasio na pesa.
Unamponda kijana hana nyuma wala mbele kama vile andazi, kitumbua au chapati.
Unamwambia afanue uwinga au achinga mtaji ni mdogo tu lakini aumpi abc za wapi aende apate hizo mizigo sojui bidhaa kwa pesa ndo unayosemanulianzia, hatimaye unageuka na kuwakisanya vijana kwenye madarasa unawapiga ada, na pesa za mizigo wanakupa wewe dalali unaenda kuchukua mzigo dukani lwa bei ya chini ila bidhaa unawapa chache wao akili zao zimedumaa wanajua ndo uhalisia, haiingii akilini kitu cha 10000 unaenda kuchukua unawaaadaa kiwa ni 13000 vichwa 50 vyote vinakibali.
Kwanini msiwe mnawadirect watu kwenye maduka husika au mfungue yenu muwauzie kwa bei elekezi