MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hiyo 80% uliipataje mkuu? Research ulifanya lini? Halafu sisi wote hapa duniani ni wageni sasa anapojitokeza mtu na kujiita Life Coach inamaanisha nini kama sio uchuro?Motivation speakers
Mentors
Life coach
Kiufupi nchi ya Tz zaidi ya watu 80% ni unproductive na hawa 20% ni wale wanoishi paycheck to pay check and hand to mouth's Life.
Hivyo Ikiwa hawa watu 80% wasipopata watu wa kuwafungua AKILI maana yake taifa letu litaendea kuwa na vibarua wengi na watu ambao hawana tija.
Sikubaliani na motivation speaker anayezungumza mambo am a yo hayana uhalisia vilevile sikubaliani na hawa watu kutokuepo.
Pia Mentor ni muhimu Sana kuzidi wote hao maana mentor Ana fan ya self-investment na kumpa MTU insight.
Nchi za laana kila kitu hakifai
Hawa jamaa wazushi sanaChief Good Love
Anasema ana mahela lakini anachangisha raia 100.000 wajiunge kwenye darasa lake la utajiri na jicho la tatu
๐๐๐๐๐nendeni darasa bn mkapetiwe kwamba unaweza anza biashara kwa 2500
Motivational speaking sio about pesa. Ni about motivation. Pamoja na kwamba wengi ni matapeli, waelewe na kazi zao pia.Ukifuatilia wengi wao hakuna biashara wanazofanya na hata wanachohamasisha ni copy & paste kutoka google na vitabuni. Hawa watu hawahitajiki.
Ni upuuzi wa hali ya juu kumlipa pesa Motivational speaker ili akuhamasishe kufanya biashara.
Matatizo tuliyo nayo yanatosha kutuhamasisha kupambana.
Kama hali iliyopo haikuhamasishi basi hata angekuja Motivational speaker toka mbinguni hakuna kitakachotokea.