sunv
Member
- May 19, 2020
- 44
- 32
Hawa motivational speakers, hivi wanatuonaje sisi wamekuwa watu wa kuzungumza vitu ambavyo ni impossible kwa kutuaminisha kuwa vinawezekana.
Kwa mfano: Kuna mmoja anasema alianza na mtaji wa mia tano mpaka sasa ana million 80 na ukimuangalia hafanani na hiyo million 80.
Tunawaomba mzungumze mambo yanayowezekana.[emoji3]