Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Ngoja niungane na walio tangulia kusema inawezekana ili inaitaji uwe na nia ya udhubutu na uvumilivu huyo anaesema alianza na na pikpk saizi ana masemi huyo hakufanya kwa siku moja ilimchukua hata miaka sema sisi vijana tunapenda kurahisisha ukiweza kuanzisha jambo lipe muda ukiona linakupa faida usikimbilie anasa tanuka tanua jambo lingine na ujipe muda sio kafaida kidogo bia mdem pamba kali mamaaae lazima uite watu wachawi