Mkuu nawashangaa sana hata mimi, Hakuna kisicho wezekana, watu tubakosa tu Vision na ile commitment"It always seems impossible until it's done". Kwa yeyote asemaye, haiwezekani, ni wazi kwamba kajaribu mara moja au mbili ama hajajaribu kabisa, kupata matokeo tarajiwa.
Hapo kinachozunguzwa ni ile dhamira ya dhati "imagination" na siyo "intention" aliyonayo mtu kwanza kabla ya kutekeleza mradi aliyoukusudia.Kuna mmoja huyo alianza ufugaji na manyoya matatu aliyoyaokota sokoni
sasa ana kuku 5686289
Hatuna uvumilivu na Ni Wavivu sana ndio maana tunaona haiwezekani.Mkuu nawashangaa sana hata mimi, Hakuna kisicho wezekana, watu tubakosa tu Vision na ile commitment
Inawezekana mbona!Hawa motivational speakers, hivi wanatuonaje sisi wamekuwa watu wa kuzungumza vitu ambavyo ni impossible kwa kutuaminisha kuwa vinawezekana. Kwa mfano kuna mmoja anasema alianza na mtaji wa mia tano mpaka sasa ana million 80 na ukimuangalia hafanan na hiyo million 80. Tunawaomba mzungumze mambo yanayowezekana.[emoji3]
😷Hatuna uvumilivu na Ni Wavivu sana ndio maana tunaona haiwezekani
Mku wengi wetu, tunasahau muda unaotumika kuichora ramani ya kitu mpaka kuanza kuitumia ramani hiyo. Tunataka kuona matokeo chanya tu, hatukotayari kujifunza na kujiboresha kupitia matokeo hasi kwa mradi bunifu.Mkuu nawashangaa sana hata mimi, Hakuna kisicho wezekana, watu tubakosa tu Vision na ile commitment
Wewe uliyewasoma hao Amazon unaendeleaje Apo ulipo?Si kwamba haiwezekani, inawezekana sana sema inahitaji muda na uvumilivu wa kutosha, Hakuna kisicho wezekana, soma Historia za walivyo anza wakina Amazon, Google ndo utaelea kwamba inawezekana sana tena sana.
Bahati mbaya sisi tumeaminisha kwebye kuwa na mitaji mikubwa ndo tuanze biashara.
Mkuu wahalifu wengi sana hupenda kuiaminisha jamii kwamba mafanikio yao ni matokeo ya juhudi zao halali.Inawezekana mbona!
Jero aliitumia kama nauli kwenda kuvunja duka akaiba mamilioni
Sijui mnawapendea nini hao wezi wa majukwaani
Ni kweli hata mimi nakubali, inawezekana. Kuna jamaa wameanza kwa kutembeza kapu la karanga za kupima na wakafika mbali. Ila tuwe wakweli. Inawezekana kwa mtu mmoja kati ya watu 10,000 wanaojaribu. Kosa kubwa la hawa wahamasishaji ni kuwa waelezea kana kwamba kila mtu atakayefanya atafaulu. Kumbe sivyo. Na hawa wanaolaumu ni kuwa wanaingia kwenye shughuli wakiwa na matumaini ya 99% kuwa watafanikiwa. Kumbe sivyo.Si kwamba haiwezekani, inawezekana sana sema inahitaji muda na uvumilivu wa kutosha, Hakuna kisicho wezekana, soma Historia za walivyo anza wakina Amazon, Google ndo utaelea kwamba inawezekana sana tena sana.
Bahati mbaya sisi tumeaminisha kwebye kuwa na mitaji mikubwa ndo tuanze biashara.
Motivational speaker anakwea boda bodaHawa motivational speakers, hivi wanatuonaje sisi wamekuwa watu wa kuzungumza vitu ambavyo ni impossible kwa kutuaminisha kuwa vinawezekana.
Kwa mfano: Kuna mmoja anasema alianza na mtaji wa mia tano mpaka sasa ana million 80 na ukimuangalia hafanani na hiyo million 80.
Tunawaomba mzungumze mambo yanayowezekana.[emoji3]