Motivational speakers, tunaomba mzungumze mambo yanayowezekana

Ngoja niungane na walio tangulia kusema inawezekana ili inaitaji uwe na nia ya udhubutu na uvumilivu huyo anaesema alianza na na pikpk saizi ana masemi huyo hakufanya kwa siku moja ilimchukua hata miaka sema sisi vijana tunapenda kurahisisha ukiweza kuanzisha jambo lipe muda ukiona linakupa faida usikimbilie anasa tanuka tanua jambo lingine na ujipe muda sio kafaida kidogo bia mdem pamba kali mamaaae lazima uite watu wachawi
 
Motivational speaker anayajua yote hayo ila sio tajiri.Motivational speaker anakosea wapu mbona hawi kama MOE?
 
Mbona unakata tamaa kabla hata ujaanza kujaribu. Kazi kubwa ya motivation speakers ni kuchalenge mindset zetu kuwa unaweza leta tofauti ikiwa utahamua .
 
Nakubaliana na wewe kila kitu kinawezekana ila wanaposimama mbele na kusema alianza na mia 5 sasa anamiliki milion 80 wakati ana vumbi mpaka kwenye nywele hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…