Motivational Speakers wako sahihi: Bidhaa yao ni hayo maneno yao

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Kuna vuguvugu la kuwaponda wazungumzaji wahamasisha maisha " motivational speaker '' KWA Wanaongea mambo ambayo wao wenyewe hawajayafanya".

Nimegundua wako sahihi. Wao hayo maneno wameyatafuta na ni Bidhaa kama zilivyobidhaa nyingine sokoni. Hawana haja ya kufanya, wewe unayesikia ndio unatakiwa utumie hiyo Bidhaa yao kujinufaisha.

Ndio maana hawa jamaa wengi wanauza vitabu, wanauza USHAURI na mazungumzo ambayo utaingia KWA kiingilio.

Tuwaunge mkono wadau.

Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi
 
MTANZANIA UKIITWA KWENYE FURSA UJUE WEWE NDIO FURSA

Demu ukiitwa na mshikaji mkale nyama choma ujue wewe ndio nyama choma
 
Kuna vuguvugu la kuwaponda wazungumzaji wahamasisha maisha " motivational speaker '' KWA Wanaongea mambo ambayo wao wenyewe hawajayafanya".

Nimegundua wako sahihi. Wao hayo maneno wameyatafuta na ni Bidhaa kama zilivyobidhaa nyingine sokoni. Hawana haja ya kufanya, wewe unayesikia ndio unatakiwa utumie hiyo Bidhaa yao kujinufaisha.

Ndio maana hawa jamaa wengi wanauza vitabu, wanauza USHAURI na mazungumzo ambayo utaingia KWA kiingilio.

Tuwaunge mkono wadau.

Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi
sasa wana tofauti gani na wachawi, wanakulogea upate pesa ila uwalipe kwanza wao
 
Kimsingi
Pesa = chochote unachokijua ambacho wengi hawakijui.
Ukifanikiwa kukimonetize hata kama ni story unakuwa millionea
 
Back
Top Bottom