matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
sasa wana tofauti gani na wachawi, wanakulogea upate pesa ila uwalipe kwanza waoKuna vuguvugu la kuwaponda wazungumzaji wahamasisha maisha " motivational speaker '' KWA Wanaongea mambo ambayo wao wenyewe hawajayafanya".
Nimegundua wako sahihi. Wao hayo maneno wameyatafuta na ni Bidhaa kama zilivyobidhaa nyingine sokoni. Hawana haja ya kufanya, wewe unayesikia ndio unatakiwa utumie hiyo Bidhaa yao kujinufaisha.
Ndio maana hawa jamaa wengi wanauza vitabu, wanauza USHAURI na mazungumzo ambayo utaingia KWA kiingilio.
Tuwaunge mkono wadau.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi
HahahaMTANZANIA UKIITWA KWENYE FURSA UJUE WEWE NDIO FURSA
Demu ukiitwa na mshikaji mkale nyama choma ujue wewe ndio nyama choma
Kimsingisasa wana tofauti gani na wachawi, wanakulogea upate pesa ila uwalipe kwanza wao