Motivational speaking

Motivational speaking

Hoja imejengwa kwenye msingi usio kuwa sahii.

Issue ya wasio timamu Vs wenye utimamu kuathiriwa na magonjwa iko explained na exposure and immunity acquisition.

Ukikaa kwenye maeneo machafu unakua exposed kwenye vimelea vingi vya maradhi. Mwanzoni lazima uumwe then badae mwili utajenga Kinga.

Hiyo kinga ndo ina make difference
 
Machizi huwa wanaumwa.

Back
Top Bottom