Moto Kariakoo uchunguzwe kuazia Bank of Afrika (BOA) iliyoungua

Uwezekano ni mkubwa moto huu uliungua kutoka Bank iliyoungua kama sehemu ya wizi ndani ya bank.
hakuna haja ya kuchunguza ispokua kujiridhisha tu ili kujipanga kwa miundombinu ya uokozi kwa siku zijazo endapo inaweza kutokea tena
 
Miundombinu haina viberiti vya kuwasha moto, moto umewashwa na mtu au hitilafu ya umeme. Kwenye hili kuna uwezekano pesa imeibwa bank kisha mwizi akawasha au kutegesha moto uwake.
 
Miundo mbinu ikiwemo selfextingusher sensor ambazo zinatakiwa kufungwa benki
 
Miundombinu haina viberiti vya kuwasha moto, moto umewashwa na mtu au hitilafu ya umeme. Kwenye hili kuna uwezekano pesa imeibwa bank kisha mwizi akawasha au kutegesha moto uwake.
na kwanini mmeunguza mzigo
Miundombinu haina viberiti vya kuwasha moto, moto umewashwa na mtu au hitilafu ya umeme. Kwenye hili kuna uwezekano pesa imeibwa bank kisha mwizi akawasha au kutegesha moto uwake.
si anatafta riziki mkuu
 
Nilivosikia ghala la pikipiki limeungua nikajisemea kimoyomoyo "Mungu wangu,ningepewa hata moja inisaidie mizunguko yangu. Ghala Zima..." Nikashukuru kwa uhai nikalala. Tunapenda kutiana hasara Sana asee
 
  • Thanks
Reactions: apk
Habari bila picha/video clip sw n takataka tu Dunia ya sasa
 
Back
Top Bottom