MOTO MOSHI: ofisi za Tanroad mkabala na Kristo mfalme inawaka Moto muda huu

MOTO MOSHI: ofisi za Tanroad mkabala na Kristo mfalme inawaka Moto muda huu

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Hello guys,

Taarifa iliyopo na ya kweli ni kwamba ofisi za Tanroad Moshi karibu na idara ya maji inawaka Moto kwa takribani 3 hrs Sasa fire wameshindwa kuzima,kwa kukosa vifaa na magari,

Wanasubiria gari kutoka KIA NA ARUSHA

NItazidi ku update
 
Attachments

  • VID_20220325_191140.mp4
    1.6 MB
La Kariakoo usilizungumzie kwani bado tunasubiri ripoti ya chanzo Cha Moto, walengwa pamoja na wahusika
kariako c iko ndani ya jiji mbona fire ilichelewa? namaanisha hvyo bwashe nimejibu kutokana na ulivyoandika mku kuungua kwa moto sehemu na kuchelewa kwa faya ni uzembe wa sekta ya zimamoto kinachotakiwa wahusika kujianda kabla ya majanga cio tatzo litoke ndio muanze kujianda
 
Hello guys,

Taarifa iliyopo na ya kweli ni kwamba ofisi za Tanroad Moshi karibu na idara ya maji inawaka Moto kwa takribani 3 hrs Sasa fire wameshindwa kuzima,kwa kukosa vifaa na magari,

Wanasubiria gari kutoka KIA NA ARUSHA

NItazidi ku update

TEMESA au TANROADS?
 
Moto wa mchongo watu wameshapiga chao,fire iko mtaa wa nyuma kwa hapo kama sikosei
 
Back
Top Bottom