Mbona shule za wakristo au selikali zikiungua huwezi kusikia tetesi za kipumbavu?
What is going on?..mbona hizi ismalic school zinaungua sana mwezi huu?
Jamani kunani Islamic school, imeanza Ilala, jana Kinondoni leo MivumoniNi tofauti mkuu, hili ni tukio la leo hii.
Sheikh aachiwe huru.Huyo Mambosasa na wenzie wafanye uchunguzi tujue nini tatizo.
Hii haiwezi kuwa coincidence kuna kitu.
Kuchoma moto shule ndugu yangu si kitu chema,wala sio tabia ya kawaida ni ugaidiIna uhusiano na huu moto?
BAKWATA...Hii sasa ni too much.
What is going on?
We huoni ajabu shule 3, zote za Kiislam kuungua ndani ya muda huu?Mbona shule za wakristo au selikali zikiungua huwezi kusikia tetesi za kipumbavu?