Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Abiria ambao walikuwa kwenye usafiri wa daladala Eicher T 798 EDZ walijikuta katika taharuki baada ya gari hilo ambayo walikuwa wanasafiria kutoka Masaki kwenda Gongolamboto kuwaka moto kwa chini.
Moto huyo uligundulika na Wananchi ambao wapo nje ya gari hiyo na kusaidia gari hiyo kusimama na kuzima moto huo.
Hata hivyo baada ya kuzima moto huo ambao haukuwa na madhara kwa abiria, baadhi ya abiria waligoma kuondoka na gari huku wengine wakiendelea