Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Hii ishu n complicated kiasi, mana hata kama abiria hawakupanda hapo bado abiria wa vituo vya mbele ambao hawajui khs hilo tukio wanaweza kupanda na maisha yakaendelea.Gari hilo liliendelea na safari huku likiwa na abiria???
Chanzo cha moto kilijulikana??
NB:Fire extinguisher ni muhimu sana,20K inaweza kuokoa gari yako.
Huyo dereva na kondo wake watakuwa na matatizo makubwa kichwani kama waliendelea kubeba abiria bila kujua chanzo cha moto na kupata suluhu yake.Hii ishu n complicated kiasi, mana hata kama abiria hawakupanda hapo bado abiria wa vituo vya mbele ambao hawajui khs hilo tukio wanaweza kupanda na maisha yakaendelea.
Nadhani kiujumla watz tunaishi Kwenye mazingira ya hatari mno, ni mara ngapi tunapanda usafiri huku tukiona kabisa hapa sio salama 100%Huyo dereva na kondo wake watakuwa na matatizo makubwa kichwani kama waliendelea kubeba abiria bila kujua chanzo cha moto na kupata suluhu yake.