Moto umewaka, Diamond na Alikiba washindana kwa trending YouTube

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,014
Reaction score
1,903
Wakuu,

Kuna vita ya trending kwa wasanii wetu wa bongo fleva.

Hivi siku za hivi karibuni Alikiba na Diamond platnumz wameonesha kabisa wako katika bifu zito za mziki katika Ku trend na kushindanda view YouTube.

Tuambie unaliongeleaje hill suala kwa mdau wa mziki kati ya TEAM KIBA NA TEAM DIAMOND
 
Kwenye swala la trending hasa youtube kwa bongo WASAFI ni next level,but kwa sasa diamond ameshuka kidogo kwa hilo,kuna huu wimbo wake wa my baby ni flop sana ukilinganisha na ngoma zake za huko nyuma,haujatrend kabisa,ameniudhi kudakia hii ngoma ya enjoy kumbe sio yake jux ndio apewe shoutout ye abaki na hiyo MY BABY yake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbingu na Ardhi.

Unamkosea heshima sana Diamond Platinumz.
 
My baby ni nyimbo nzuri na inafanya vzur sema siaina ya nyimbo wabngo tunapnda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…