Moto umewaka, Diamond na Alikiba washindana kwa trending YouTube

Hizi nyimbo mbili za diamond zote sio hit songs ndio mana amerukia wimbo wa jux ambao ndio hit song ila zake hakuna kitu
 
Wakati Burnaboy na Lerma wanashindania Tuzo kubwa Worlwide Hawa wabongo wanashindania view youtube😅😅😅 Chino Wan Man ndio mtaalamu wa Amapiano Tz
 
Kipindi cha nyuma Kiba alikuwa anaponda sana issues za trending,leo naona kala mahapishi yake.

Ila hizi amsha amsha za Mondi ni kwa ajili ya tamasha lake la Wasafi so hizi kelele zinazo endelea zina msaidia kuboost ile hype ya tamasha la Wasafi litakalo anza mwezi wa tisa.

Dogo ana akili ya hela,hiki kinacho endelea alikijua.Ila sema hili beef lao halina amsha amsha huku vijiweni kama zamani, watu hawali jadili kabisa hata thread hii inatembea polepole,ingekuwa zamani tungekuwa page ya 30.
 
Hiyo my baby inashika namba 1 Nigeria YouTube
 
Mdaka nyota ndomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…