Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
Mshabiki wa man city wanaishangila united ili imbonde liver wao wakae pale juu
[emoji460]Mashabiki wa united wanaishangilia city ili imbonde Everton wao wampiku
Hapa tunasema city united[emoji1426][emoji1426][emoji1426]jiji limeungana sasa
Mashabiki wa liver wanaishangilia Everton wambonde city gap likue wabaki juu pale
Mashabiki wa Everton wanamshabikia Liverpool ambonde man united wao wampiku
.
Hapa hawa watu wa mashemeji derby/friendly derby nao wanaungana