Tetesi: Moto unalipuka Dodoma, Mzee mpiga debe atolewe🤐

Hakuna kitu kama hicho... hizi lamli zako peleekea watu wa aina yako.

Chama makini kina ajenda zake ktk vikao na jinsi ya kujadili, hiyo mijadala ya kulopoka kama wapiga debe una weza ikuta sehemu fulani.

Kauli kuu, mama amesema ataunda safu yake.

Amesema waliopo au chaguliwa kama mpaka 2025 hakuna watakacho kifanya basi itabidi wakae pembeni

Pia chama kina enda kutoa ajira... tuna enda kuwa na nafasi za kuajiriwa, tuna itaji wataalamu sio kiende kwa mazoea kama zamani kisa una jua kuimba au kupiga soga

Siasa ni sayansi
 
Kwa CCM mwenyekiti ndio Kila kitu maadam wamempa kura za "kishindo" hakuna anayeweza mchallenge. So hizo ni kelele tu ila 2025 hamna atakayeweza chukua fomu so kwa huko kwenu mgombea ni Samia Hadi 2030 na hamna la kufanya
Na tume azimia... hilo halina shida... tuna enda na mama tena... wewe tafuta wa kwenda nao ktk chama chako, ata ukitaka simamisha wanachama wote kwa nafasi moja ni sawa, sababu ni utaratibu wenu.
 
Kwa CCM mwenyekiti ndio Kila kitu maadam wamempa kura za "kishindo" hakuna anayeweza mchallenge. So hizo ni kelele tu ila 2025 hamna atakayeweza chukua fomu so kwa huko kwenu mgombea ni Samia Hadi 2030 na hamna la kufanya
Kikinuka huwa wanaachana. Umesahau 2015 ikabidi mwenyekiti amuweke asiyempenda akamuacha beloved one.?

Umesahau 2015 wanaccm walivyokitema chama kura wakapeleka ukawa.?

Umesahau waliokulia ccm kina mzee Kingunge waliposimama wazi wazi majukwaani kukisurubu ccm?

Umesahau Sumaye na wengine wa chini chini waliisurubu vilivyo ccm ya mwenyekiti JK?

Umesahau ule wimbo uliimbwa mbele ya mwenyekiti tuna imani na lowasa?

Umesahau Mwenyekiti siku za mwisho alivyokua analia kuwa bora astaafu akapumzike msoga? Alishanusa kikombe mbele yake.

Kikiumana huwa wanaachana. Na kilishaumana sasa kinaumana tena.
 
Usikariri
Sasa nani atapewa fomu? Mkitaka kumu impeach kumbuka Rais ana mamlaka ya kuvunja bunge?? Mkitaka mpeleka mahakamani ana Kinga!! Mwisho wa siku wajumbe wanaomkosoa wataishia kukatwa kama Luhaga Mpina!!

Njia pekee ilikua kumnyima kura Jana, ila kama mmempa kura za kishindo ndio basi Tena mpaka 2030 hiyo!!

CCM tatizo imejaa wanafiki ingekua Kenya kina Bashiru wangekua na chama Chao tayari. Sasa Yao yanaforce kubaki yakiamini yatapata teuzi huko mbeleni!! So funny
 
Kuna wakurugwa watatamani katiba ile ya Warioba waliyoikataa.
Ndio hapo akili za CCM sizielewi, Polepole akisema agombee 2025 anajua kitakachompata same to Mpina or Bashiru!!! Lakini hawajifunzi tu.

Na wakisema waanzishe chama wanajua kura zitaibwa, watapigwa virungu, na kupewa kesi za uhujumu uchumi!!! Na utashangaa wataanza kulialia eti tume sio huru ilihali walipokua na madaraka wange address Hilo mapema.
 
Ndio hapo akili za CCM sizielewi, Polepole akisema agombee 2025 anajua kitakachompata same to Mpina or Bashiru!!! Lakini hawajifunzi tu...
Kwanini waanzishe chama? Kwani CCM ni wamoja kiasi hicho?

Kuna wanaolalamika sasa kama wana CCM?

Nani anayenufaika na haya yanayoendelea?
 
Jamani jamani nimeinyaka nimeinyaka jamani Busara ni muhimu jamani humo ndani ya cc kimenukishwa na Mzee wa Msoga kama vile kanusa kama nabii akasema jamani jamani...

CCM mwenye nguvu alikuwa Lowassa pekee. Wengine wapiga kelele hamna kitu.
 
Woote hakuna Msafi

 
Weweseko la Ben sanane
Huyu jamaa msimwandame sana maana hata Sauli alikuja kutumika kama chombo cha Bwana, tuache kuhukumiana na kujiona wema. Yesu akasema, asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kumpiga jiwe yule Kahaba.
Acha visasi

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
 


Kaka hapa ni jf sio Badoo wala Facebook

Uwe unaandika mambo ya kueleweka

Hili jukwaa linapitiwa na watu wazito sana
 
Hata wakianzisha chama hakitasajiriwa.
 
Mkuu

Huwa sibezi andiko lako!

Niliandika mahali kuwa maneno ya huyo Mzee yata trigger operation fulani ambayo iliahirishwa KWA MUDA!!

Naomba Mungu atusaidie yaishe SALAMA

Mungu IBARIKI NCHI YANGU TANZANIA!
 
Mkuu

Huwa sibezi andiko lako!

Niliandika mahali kuwa maneno ya huyo Mzee yata trigger operation fulani ambayo iliahirishwa KWA MUDA!!

Naomba Mungu atusaidie yaishe SALAMA

Mungu IBARIKI NCHI YANGU TANZANIA!
Msijidanganye kama ambavyo hakuna aliyechukua form 2020 basi 2025 mwendo ni huo huo. CCM haijawahi kuwa na demokrasia neno la Mwenyekiti ndio final. So jitieni moyo humu mitandaoni ila sio Bashiru, sio Mpina sio Kabudi mwenye uwezo wa kumzuia Mwenyekiti wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…