Ukikubaliana na moyo kuacha kitu basi acha kweliBaada ya kuweka malengo ya kutopiga puli, wazee Leo siku ya pili aisee nipo kwenye maumivu Makali sana yani akili yote inataka iyo kitu Aisee.
Lengo la huu mwaka naona nakwenda kulivunja.
Hilo ni pepo mkuu likemee!Na sisi tulio oa je?
Haijalishi ila nakutaadharisha mke wa mtu sumu kijana.bado hayajakukuta yakikufika utaelewaMwanaume ukifikia stage ya kutosimamisha hata confidensi kwa mkeo itapotea ndo mwanzo wa kuanza kudharaurika, na trust me utachapiwa huku unaona na hakuna kitu utafanya
Mpiga PUNYETO ni sawa na mfungwa aliyepigwa pingu.
Si Rahisi kujiokoa mwenyewe!!
Kifungo hicho ni katika Roho, umeoa jini mahaba na limekutolea Mahari katika Ulimwengu wa Roho, pia limekuvisha Pete ya NDOA na hati ya NDOA imesainiwa.
Kuvunja ndoa hiyo, shirikisha mtumishi wa Mungu au waombaji Ili kuvunja NDOA hiyo.
Usichukulie mzaha.
UBARIKIWE.
😂😂😂🏸Mwaka wa 25 napiga puli vizuri tu na nimeoa wake wawili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume ukifikia stage ya kutosimamisha hata confidensi kwa mkeo itapotea ndo mwanzo wa kuanza kudharaurika, na trust me utachapiwa huku unaona na hakuna kitu utafanya
Asante sana kwa hii picha mkuu 🙏🙏Hizo ni withdrawal symptoms za kawaida tu. Ukikaza utavuka; maana zitapungua na hatimaye kuisha kabisa. Nakuombea!
View attachment 2859747
Hebu ilete home, niache kupiga😀🤣Ukikubaliana na moyo kuacha kitu basi acha kweli
Ndo nin hiyo ya kuleta😳😳😳😳Hebu ilete home, niache kupiga😀🤣
Leta minywele🤣😀😂Ndo nin hiyo ya kuleta😳😳😳😳
😂😂😂Alafu nataka nizipunguze niweke na bleach nishauriiLeta minywele🤣😀😂
Ukiweka bleach, tusi juane kuanzia leo🤣😂😂😀🤒😂😂😂Alafu nataka nizipunguze niweke na bleach nishaurii