Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Ukikubaliana na moyo kuacha kitu basi acha kweliBaada ya kuweka malengo ya kutopiga puli, wazee Leo siku ya pili aisee nipo kwenye maumivu Makali sana yani akili yote inataka iyo kitu Aisee.
Lengo la huu mwaka naona nakwenda kulivunja.