Moto unaniwakia

Moto unaniwakia

Mpiga PUNYETO ni sawa na mfungwa aliyepigwa pingu.

Si Rahisi kujiokoa mwenyewe!!

Kifungo hicho ni katika Roho, umeoa jini mahaba na limekutolea Mahari katika Ulimwengu wa Roho, pia limekuvisha Pete ya NDOA na hati ya NDOA imesainiwa. Unachokifanya, unajaribu kuachika😀 Kutoka kwenye NDOA na Pepo hao.

Kuvunja ndoa hiyo, shirikisha mtumishi wa Mungu au waombaji Ili kuvunja NDOA hiyo.

Usichukulie mzaha.

UBARIKIWE.
 
Baada ya kuweka malengo ya kutopiga puli, wazee Leo siku ya pili aisee nipo kwenye maumivu Makali sana yani akili yote inataka iyo kitu Aisee.
Lengo la huu mwaka naona nakwenda kulivunja
Hizo ni withdrawal symptoms za kawaida tu. Ukikaza utavuka; maana zitapungua na hatimaye kuisha kabisa. Nakuombea!

Urban_legends_regarding_masturbation.jpg
 
Ujiandae kutembea na mafuta ya baby care kijana.
NB:mke wa mtu ni sumu ata kama mumewe hasimamishi
Mwanaume ukifikia stage ya kutosimamisha hata confidensi kwa mkeo itapotea ndo mwanzo wa kuanza kudharaurika, na trust me utachapiwa huku unaona na hakuna kitu utafanya
 
Katika magumu yoyote ukimtumaini Mungu unatoboa....

Usikate tamaa yaani hayo mawazo yanakovuta urudi kupiga puli ni nguvu ya ibilisi shetani ,cha msingi hata ukianguka amka tenah endelea kusimamia lengo lako la kuacha kupiga puli mwaka huu

Pia endelea kujifunza mbinu mbalimbali za kuacha uraibu huo kupitia nyuzi humu jukwaani,you tube n.k elimu hio iwe mwanga na dira ya kukuongoza kuondokana na tatizo hilo

Nakutakia Kila la kheri na utekelezaji mwema
 
Back
Top Bottom