Moto unawaka eneo la keko furniture -Dar

jT0078

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
444
Reaction score
346
Wale wanaotumia njia ya barabara ya Chang'ombe - Keko Dsm kuna MOTO mkubwa unawaka ktk moja ya majengo ktk eneo la keki furnuture upande wa kiwanda cha SUMA JKT.

Nadhani barabara itakuwa imefungwa muda huu kutokana kuongezeka kwa moto. Watu wa usalama tunaomba muende eneo hilo.

Your browser is not able to display this video.
 
Hapo ni hujuma mm niko hapa hili eneo lina mgogoro sana na anaemiliki amelinunua analitaka hili eneo lake ila wanaofanya biashara hapo hawataki kutoka hili eneo almost kila mwaka linawaka moto na huu mwaka hii ni mara ya pili mwezi wa 8 nako moto uliwaka eneo hili kwa ndani kidogo ofisi nyingi na maduka viliungua..

n.b maduka ya kuuza rangi hapo zile rangi na tina ukijumlisha vitu vya mbao magodoro moto wake unasambaa na kuwaka vibaya sana likiwaka duka moja tu yalivyobanana ujie yanaunga yote sababu ya milipuko ya high flamable product.
 
Itakua moto wa AI
Nili sema hivyo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…