Moto unawaka uhayani

zinginary

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2015
Posts
2,483
Reaction score
1,705
Wazee wa vimiminikaaa,weekend ndio ishaanza kunogaa,

Leo lazima kunawakaaaaa

Wazee wa bapa kwa mnyamaa
Vyesto lager nk

Balimi a.k.a Fastjet--bei ndogo majibu fastaaa


Siku ya kuweka shidaa chini na kurushaa mikono juuu

Binafsi nakiwashaa AVANA


DRINK.BEER TO SAVE WATER


Everybody has to believe in something. I believe I’ll have another Bapa
 
We utakuwa Muleba.
Ofcoz yes nmeingia uhayan kwa watu wanao wanao itwa wapenda sifaa


Ila kwao huku mbona wapole sanaa


Anyway tunywee tuu
Kunatofaut kubwa huku hakuna.totoz ila.beer zipo

Navimiss vihudumu vya MIcasa twn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…