zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,483
- 1,705
Wazee wa vimiminikaaa,weekend ndio ishaanza kunogaa,
Leo lazima kunawakaaaaa
Wazee wa bapa kwa mnyamaa
Vyesto lager nk
Balimi a.k.a Fastjet--bei ndogo majibu fastaaa
Siku ya kuweka shidaa chini na kurushaa mikono juuu
Binafsi nakiwashaa AVANA
DRINK.BEER TO SAVE WATER
Everybody has to believe in something. I believe I’ll have another Bapa