Moto unawaka usiku huu msitu wa Mlima Kilimanjaro

Moto unawaka usiku huu msitu wa Mlima Kilimanjaro

Mwaka Jana pia hiyo Hali ilijitokeza ila ukuifuqatilia kwa ukaribu utabaini ni uzembe na mazingira yakupiga Hela saivi watu wanajitaftia tuu mazingira wafaidike ni tofauti sana na miaka ya nyuma kidogo
Siyo kweli suala la kuwaka moto Hifadhi ya mlima kilimanjaro ni la miaka mingi sana iliyopita Nakumbuka tangu nikiwa Mdogo hivi visa navisikia

Na kwa kiasi kikubwa unasababishwa na watu wanao rina asali kwa Kuwasha Moto
 
Una uhakika gani mkuu maana hapo kama upo kcmc nitajie eneo linalowaka moto upande huo wa kinapa wanaulinzi wakutosha sio rahisi mtu kuingia kichwakichwa unless wanashirikiana nao
 
Una uhakika gani mkuu maana hapo kama upo kcmc nitajie eneo linalowaka moto upande huo wa kinapa wanaulinzi wakutosha sio rahisi mtu kuingia kichwakichwa unless wanashirikiana nao
Hakuna mahali nimesema niko KCMC
 
Itakuwa kuna uzembe unafanyika, maana kila mara hiyo misitu inawaka moto...
 
Muda tu imepita nilikuwa natizama kipindi Cha kipima joto itv mada ilkuwa kupambna na adhari za ukame nn kifanyike
 
Wanapasha chakula
Kule juu kuna vituo vya kupumzika na kufanya shuguri nyingine kama usemavyo kwa watalii, kumbuka pia kuna tour guides na games ambao hutoa maelekezo kwa watalii na kuonesha sehemu maalumu kwa shuguri hizo. Inakuwaje moto kila mwaka?
 
Watanzania wengi ni wajinga
Uoto wa Hifadhi ya Kilimanjaro siyo sawa na Serengeti...
Huko KLM ni Misitu na Miti mirefu ndyo inateketea...

Na kwa Theluji iliyo kileleni hauwezi kuwasha moto kwa ajili ya uoto mpya....

Grow Up.
 
Jamani [emoji22]
Ehh Mwenye Enzi Mungu tuhurumie jamani uwiii ehh [emoji22]
 
IMG_20221022_121027.JPG
 
Mlima unatupa utambulisho dunia nzima waushughulikie aisee huo moto.
 
Back
Top Bottom