Moto wa california ni mwanzo tu, Sifa zinawekwa kando watu wanapewa kazi kwa kuwapa kipaumbele waliobadili jinsia, wamarekani weusi, wanawake, n.k.

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris,

Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali

Tatizo linapokuja hii DEI inaweka sifa pembeni, watu wenye sifa wanawekwa kando wanawekwa watu wenye sifa ndogo,

inapush zaidi wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, waliobadili jinsia wanawake na wamarekani weusi wapate kazi kuliko hata watu wenye mahitaji maalum.

hawa ni viongozi wa idara ya zimamoto ya california

🏳️‍🌈Kristina Crowley - kiongozi wa kwanza msagaji zimamoto
🏳️‍🌈Kristina Kepner - Naibu wa kwanza msagaji zimamoto
🏳️‍🌈Kristine Larson - Afisa mkuu wa kwanza msagaji idara ya usawa zima moto

Kwa kushirikiana wameanza kubeba zaidi watu wa aina yao wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na waliobadili jinsia wapate kazi kwa mgongo wa DEI,

sehemu inaweza kuwa na rasilimali nyingi lakini ikianza kubeza watu wenye elimu na ujuzi ni tatizo

1736689618312.png
 
DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris,

Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali

Tatizo linapokuja hii DEI inaweka sifa pembeni, watu wenye sifa wanawekwa kando wanawekwa watu wenye sifa ndogo,

inapush zaidi wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, waliobadili jinsia wanawake na wamarekani weusi wapate kazi kuliko hata watu wenye mahitaji maalum.

hawa ni viongozi wa idara ya zimamoto ya california

🏳️‍🌈Kristina Crowley - kiongozi wa zimamoto
🏳️‍🌈Kristina Kepner - Naibu wa zimamoto
🏳️‍🌈Kristine Larson - Afisa mkuu wa idara ya usawa zima moto

View attachment 3199759
Leta CVs zao
 
Kwao ni wanawake au imekuaje yaan mbona huelezei unalalamika tu
 
Leta CVs zao

huna haja ya kuchimba sana cv, kazi ya zimamoto kwa nature yake inafaa zaidi wanaume, kubeba watu waliozimia kunahitaji wanaume, wanaume wana ujasiri mkubwa wa kuingia mazingira yanayoweza kuhatarisha uhai wao ndio maana kwenye vita zile kelele za usawa huwa hazipo
 
DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris,

Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali

Tatizo linapokuja hii DEI inaweka sifa pembeni, watu wenye sifa wanawekwa kando wanawekwa watu wenye sifa ndogo,

inapush zaidi wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, waliobadili jinsia wanawake na wamarekani weusi wapate kazi kuliko hata watu wenye mahitaji maalum.

hawa ni viongozi wa idara ya zimamoto ya california

🏳️‍🌈Kristina Crowley - kiongozi wa zimamoto
🏳️‍🌈Kristina Kepner - Naibu wa zimamoto
🏳️‍🌈Kristine Larson - Afisa mkuu wa idara ya usawa zima moto

View attachment 3199759
Hao kweli Mtihani kujua Jinsia zao bila kuwachungulia huko chini
 
kusema ya wenzenu mpo vizuri wakati sgr tu inawatoa jasho la meno!, kila mtu apambane na changamoto zake maswala ya kujikuta nabii ni unabii uchwara tu!, pigania Africa yako.
 
Na hapo walifanya nini ? (Kuweni mnajua hata historia na kuelewa kuna sehemu ni prone kwa mambo kama haya);

The Great Chicago Fire was a conflagration that burned in the American city of Chicago during October 8–10, 1871. The fire killed approximately 300 people, destroyed roughly 3.3 square miles (9 km2) of the city including over 17,000 structures, and left more than 100,000 residents homeless.[3] The fire began in a neighborhood southwest of the city center. A long period of hot, dry, windy conditions, and the wooden construction prevalent in the city, led to the conflagration spreading quickly. The fire leapt the south branch of the Chicago River and destroyed much of central Chicago and then crossed the main stem of the river, consuming the Near North Side.

By the way unayesema anachoma hivyo vitu na kuua na kuangamiza hata wasio na Hatia ndio Mungu wako au ni Shetani ? Kama huyo ndio Mungu na watu ndio wanataka ufalme wake kama kuna alternative they had be better of.
 
Huwezi kulinganisha mwaka 1871 na mwaka 2025, teknolojia imekuwa kubwa na mbinu zipo kibao, tatizo linalofanywa ni kuanza kubeza watu wenye vigezo
 
Kwahio 1871 Mungu aliamua kuua watu mia tatu na mali na mwaka 2025 kaamua kuua watu 16 mpaka sasa wengi wakiwa wazee ?
 
Back
Top Bottom