Yeah,Aisee strategist wa CHADEMA nampa maua yake. Literally CHADEMA ndio chama tawala ni swala la muda mfupi tu
Naomaba kwanza ni kuulize vipi Bi Eda mzima? Nimemmiss sana!Yeah,
uko sahihi gentleman,
Eahe,
wadau wa JF wangependa kufahamu kwa kifupi,
Mwenyekiti wa Chadema taifa aliejitangaza mwenyewe ndugu John Heche katoa ujumbe gani huko bomang'ombe ground, hai?
halafu,
Tundu Lisu alipigwa chini lini kama mwenyekiti wa chadema taifa, na kushushwa cheo na heche mpaka akawa makamu mwenyekiti wa chadema?🐒
ok.CHADEMA ni mpango wa Mungu kuinusuru Tanganyika
mbona unahamisha na kupindisha hoja yako mahususi mezani kinyonge hivyo kamanda?Naomaba kwanza ni kuulize vipi Bi Eda mzima? Nimemmiss sana!

Hata kada wa ccm anaweza kuvaa gwanda ili aonekane ni Chadema ili kuleta mtafarukuok.
na huyu mzee wa BAZECHA anainusuru au anaipasua chadema gentleman?
atukanwe ili kuinusuru chadema au aachwe chadema ijibomoe yenyewe? 🐒
hayakuhusuYeah,
uko sahihi gentleman,
Eahe,
wadau wa JF wangependa kufahamu kwa kifupi,
Mwenyekiti wa Chadema taifa aliejitangaza mwenyewe ndugu John Heche katoa ujumbe gani huko bomang'ombe ground, hai?
halafu,
Tundu Lisu alipigwa chini lini kama mwenyekiti wa chadema taifa, na kushushwa cheo na heche mpaka akawa makamu mwenyekiti wa chadema?🐒
kivipi gentleman,hayakuhusu
Sijapindisha mada jibu langu lina connection na bi Eda. Naomba unijibu bi Eda mzima?mbona unahamisha na kupindisha hoja yako mahususi mezani kinyonge hivyo kamanda?![]()
Sasa we na mumeo tu nchi hiyo myaikabidhi vipi?!! Labda uwakabidhi cheti chenu Cha ndoa. Mistake kuchekesha watu aiseeAisee strategist wa CHADEMA nampa maua yake. Literally CHADEMA ndio chama tawala ni swala la muda mfupi tu
Funguka zaidi kwa manufaa ya wengi, maana huo mzoga humu JF umekuwa ni usumbufu mkubwa. Mvundo wake utaukuta katika kila mada inayoanzishwa.Naomaba kwanza ni kuulize vipi Bi Eda mzima? Nimemmiss sana!
Naomba ukazie hapo hapo, maanake naona kuna dalili za kupunguza mvundo hapo.Sijapindisha mada jibu langu lina connection na bi Eda. Naomba unijibu bi Eda mzima?
kivipi gentleman,
na hili ni jukwaani huru kwa waTanzania wote, waAfrica na dunia nzima?
ama ndio khabari za vibwengo kuvamia siasa?🐒

Tunataka updates za Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kule Bomang'ombe, Hai.Aisee strategist wa CHADEMA nampa maua yake. Literally CHADEMA ndio chama tawala ni swala la muda mfupi tu
lipigwa miti limekimbia kupigwa miti lumumba kuja kukoment uchoko jf.Tunataka updates za Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kule Bomang'ombe, Hai.