Moto wa CHADEMA balaa huku BAWACHA kule Heche. Liwake jua ama inyeshe mvua Watanzania tutaikabithi CHADEMA nchi

TIETA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,201
Reaction score
3,345
Moto wa CHADEMA balaa huku BAWACHA kule Heche. Liwake jua ama inyeshe mvua Watanzania tutaikabithi CHADEMA nchi

Aisee strategist wa CHADEMA nampa maua yake. Literally CHADEMA ndio chama tawala ni swala la muda mfupi tu
 
Aisee strategist wa CHADEMA nampa maua yake. Literally CHADEMA ndio chama tawala ni swala la muda mfupi tu
Yeah,
uko sahihi gentleman,

Eahe,
wadau wa JF wangependa kufahamu kwa kifupi,
Mwenyekiti wa Chadema taifa aliejitangaza mwenyewe ndugu John Heche katoa ujumbe gani huko bomang'ombe ground, hai?

halafu,
Tundu Lisu alipigwa chini lini kama mwenyekiti wa chadema taifa, na kushushwa cheo na heche mpaka akawa makamu mwenyekiti wa chadema?🐒
 

Attachments

  • 6419725-0313c6941c78c04e45f3729883c2d1ec.mp4
    4.8 MB
Naomaba kwanza ni kuulize vipi Bi Eda mzima? Nimemmiss sana!
 
ok.
na huyu mzee wa BAZECHA anainusuru au anaipasua chadema gentleman?

atukanwe ili kuinusuru chadema au aachwe chadema ijibomoe yenyewe? 🐒
Hata kada wa ccm anaweza kuvaa gwanda ili aonekane ni Chadema ili kuleta mtafaruku
 
hayakuhusu
 
Aisee strategist wa CHADEMA nampa maua yake. Literally CHADEMA ndio chama tawala ni swala la muda mfupi tu
Sasa we na mumeo tu nchi hiyo myaikabidhi vipi?!! Labda uwakabidhi cheti chenu Cha ndoa. Mistake kuchekesha watu aisee
 
Naomaba kwanza ni kuulize vipi Bi Eda mzima? Nimemmiss sana!
Funguka zaidi kwa manufaa ya wengi, maana huo mzoga humu JF umekuwa ni usumbufu mkubwa. Mvundo wake utaukuta katika kila mada inayoanzishwa.
Sasa jiulize mzoga huu ni wa aina gani huu?
 
Sijapindisha mada jibu langu lina connection na bi Eda. Naomba unijibu bi Eda mzima?
Naomba ukazie hapo hapo, maanake naona kuna dalili za kupunguza mvundo hapo.
 
Hivi Halima Mdee na wenzake wako.team Aikaeli au timu Antipasu
 
Aisee strategist wa CHADEMA nampa maua yake. Literally CHADEMA ndio chama tawala ni swala la muda mfupi tu
Tunataka updates za Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kule Bomang'ombe, Hai.
 
Simbuko haisimbuki Ila kwa msukosuko, mpaka sasa ubinafsi wa vyama vya upinzani na kuogopa kuungana kwa kutoka na uroho wa madaraka na visenti vya kulambishwa katu CCM haiwezi kuondolewa madaraka ni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…