Moto wa mwituni kwenye jimbo la California, Marekani

Moto wa mwituni kwenye jimbo la California, Marekani

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Moto wa mwituni kwenye jimbo la California, Marekani umechoma karibu kilomita za mraba 57 ndani ya siku tatu, hadi kufikia tarehe 24 asubuhi, moto huo bado haujaweza kudhibitiwa.

VCG111393468094.jpg

VCG111393459707.jpg
 
Si waombe msaada Russia watume ndege zao kuzima huo moto
 
Tunadanganyana Wana technolojia ya Hali ya juu,moto tu wanashindana kuzima ,jje nuclear
 
Hili jimbo si ndo walisema linauchumi mkubwa kuliko china, urusi, noth korea na nchi zote za mashariki. Wanawashindwaje kuzima kamoto tu matajiri kama hao.
Uchumi wa California haujauzidi ule wa China. Labda Russia, UK, France, Italy hao ndiyo wanazidiwa na California kiuchumi
 
Cha kushangaza anayetoa izo tactics ni USA Calfonia hawezi kufikia uchumi Russia in reality acheni kukalilishwa
USA ni sawa na mwanafunzi anayefanya mtihani kisha akasahihisha yeye na kupanga matokeo yeye chumbani kwake kisha akayabandika shuleni. Alisema niwakwanza kwa uzalishaji wa mafuta ila kashindwa kuwasaidia ndugu zake hata pipa moja tu pale ulaya
 
Akiba ya mafuta wanayo iba Middle East yame chimbiwa kwenye Matank yaliyoko Jimbo la Calfornia !! ni mengi ajabu!!....sasa wakati wa kiangazi yanashika Moto si kawaida!

Ndo km hivi sasa tunza hii thread yangu mtaona tena mwaka kesho ivoivo hawapumzikagi na ule moto una choma mpaka miti mibichi! mpaka juu ya maji ya mto moto unawaka !..

mleta mada wawekee ile picha ambayo ilikuwa inaonyesha meli ikiwaka majini!..na kusambaa km 100! za eneo!

Japo visima vina vizuia moto lkn hayafai kitu! sasa wana mpango wa kuyahamishia Mafuta hayo Rwanda!na DRC ndo maana wanampa kagame siraha km zote aUkubali huo mtego!.....SOON MTAONA!
 
Huyu ndo Mungu ninaejua mimi Sasa mwaka huu mashoga Maji wataita mma kila kona ni kichapo
 
Huyu ndo Mungu ninaejua mimi Sasa mwaka huu mashoga Maji wataita mma kila kona ni kichapo
Nyie ndio wale wa kila jambo utasikia mafreemason hao

Utasema yanatokea sasa hivi kwa sababu ulizotaja, ukweli utabaki ni sababu ya mabadiliko ya tabia nchi na ukuaji wa shughuli za kibinadamu

Over
 
Nyie ndio wale wa kila jambo utasikia mafreemason hao

Utasema yanatokea sasa hivi kwa sababu ulizotaja, ukweli utabaki ni sababu ya mabadiliko ya tabia nchi na ukuaji wa shughuli za kibinadamu

Over
Wewe mimi naamini ni Mungu wewe amini tabia za nchi full stop
 
Back
Top Bottom