Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wao wana ofisi sisi tuna watu#HABARI Iliyokuwa Ofisi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) na kubadilishwa jina lililokuwa kuwa limeandikwa nje ya ofisi hiyo kisha Mwenyekiti wa Chama hicho, Hashimu Rungwe kuipandisha bendera ya CHAUMMA.
Awali ofisi hiyo iliyopo mjini Musoma kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa yakisomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina jingine la CHAUMMA.
Uamuzi wa kufuta jina la CHADEMA na kubadili kuwa CHAUMMA ni baada ya aliyekuwa akiisimamia ofisi hiyo kuhama chama.
#EastAfricaTV
View attachment 3356703
great!Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.
kuwa na ofisi sio kituWao wana ofisi sisi tuna watu
Tone tone mwanangu! Hivi Susana Kiwanga naye amekimbia na G55?Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.
Tone tone mwanangu! Hivi Susana Kiwanga naye amekimbia na G55?
#HABARI Iliyokuwa Ofisi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) na kubadilishwa jina lililokuwa kuwa limeandikwa nje ya ofisi hiyo kisha Mwenyekiti wa Chama hicho, Hashimu Rungwe kuipandisha bendera ya CHAUMMA.
Awali ofisi hiyo iliyopo mjini Musoma kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa yakisomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina jingine la CHAUMMA.
Uamuzi wa kufuta jina la CHADEMA na kubadili kuwa CHAUMMA ni baada ya aliyekuwa akiisimamia ofisi hiyo kuhama chama.
#EastAfricaTV
View attachment 3356703
Chadema kwa sasa imekuwa imani, inatawala imani za watanzania.Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.
Wale wengine wanatapatapa, sio ajabu kwa binadamu anayetapatapa, pasi matumaini ya kuishi!..Chadema wawe makini na hila kama hizi.
..mambo kama haya yasiwatoe katika reli.
Mungu baba ibariki CHADEMAMoto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.
Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro💗💗💗Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.
Unabisha,mbona tayari wapo vilaza wamemjia na fungu?hahaha apa ndo alisema akiamua kwenda ccm anaweza kwenda mda wowote na kua waziri 🤣