stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
ivi mke wako akisema kuna wanaume uko nje wanantaka inakupa picha ganUnabisha,mbona tayari wapo vilaza wamemjia na fungu?
ivi mke wako akisema kuna wanaume uko nje wanantaka inakupa picha ganUnabisha,mbona tayari wapo vilaza wamemjia na fungu?
Ulipata picha gani ulivyoambiwa?ivi mke wako akisema kuna wanaume uko nje wanantaka inakupa picha gan
Chadema sio ofisi wala majengo, hata mkifuta chama, mkachukua majengo yote bado wananchi mioyo yao ina imani na chadema, kama huamini muulize msajili tangu amefuta ruzuku chadema wamepata kiasi gani toka kwa wananchi?#HABARI Iliyokuwa Ofisi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) na kubadilishwa jina lililokuwa kuwa limeandikwa nje ya ofisi hiyo kisha Mwenyekiti wa Chama hicho, Hashimu Rungwe kuipandisha bendera ya CHAUMMA.
Awali ofisi hiyo iliyopo mjini Musoma kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa yakisomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina jingine la CHAUMMA.
Uamuzi wa kufuta jina la CHADEMA na kubadili kuwa CHAUMMA ni baada ya aliyekuwa akiisimamia ofisi hiyo kuhama chama.
#EastAfricaTV
View attachment 3356703
Chadema sio ofisi wala majengo, hata mkifuta chama, mkachukua majengo yote bado wananchi mioyo yao ina imani na chadema, kama huamini muulize msajili tangu amefuta ruzuku chadema wamepata kiasi gani toka kwa wananchi?
"NO REFORM, NO ELECTION"..Chadema wawe makini na hila kama hizi.
..mambo kama haya yasiwatoe katika reli.
majibu unayo kwa sababu huo mfano unakuhusu 100%Ulipata picha gani ulivyoambiwa?
Sihusiki nao ila wewemajibu unayo kwa sababu huo mfano unakuhusu 100%