PreGE2025 Moto wa No Reforms No Election watinga Igima, Mlimba. Wananchi waitika, Heche aongoza Tone Tone

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chadema sio ofisi wala majengo, hata mkifuta chama, mkachukua majengo yote bado wananchi mioyo yao ina imani na chadema, kama huamini muulize msajili tangu amefuta ruzuku chadema wamepata kiasi gani toka kwa wananchi?
 
Bado hamjasema😁😁😁
 
..Chadema wawe makini na hila kama hizi.

..mambo kama haya yasiwatoe katika reli.
"NO REFORM, NO ELECTION"

Hiyo ndiyo habari kuu kushinda zote wakati huu na kwenda mbele.
Chochote kitakachoingiliana na habari hii ndicho kinachotakiwa kupewa umakini wa kushughulika nacho.
Hizi 'side show' za huko pembeni, tena toka kwa watu ambao umuhimu wao haupo tena itakuwa ni kupoteza tu muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…