Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
alikuwa analipwa 35 m?Mchechu kashapunguziwa mshahara wake kutoka 35 hadi 15?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alikuwa analipwa 35 m?Mchechu kashapunguziwa mshahara wake kutoka 35 hadi 15?
Nasikia kalalamika kuwa maisha ni magumu mshahara wa milioni 15 kwa mwezi ni kiduchu watoto watapata shida. Pia inasemekana anadai kheri mshahara wa sh 200,000 kwa mwezi ni mkubwa kuliko sh milioni 15 kwa mwezi.Amelalamika sana,na kuomba "aongezwe" hadi angalau sh 250,000 kwa mwezi.Mchechu kashapunguziwa mshahara wake kutoka 35 hadi 15?
Mbowe lazima wamlipe billions of money.
Wako wengi tu mkuu Watakaofaidika muhula huu kwa kupitia vikesi km ivi
Nitacomment ukiishaweka majina.Taarifa za kunyapia nyapia zinasema mambo ndani ya Shirika la NHC sio shwari. Pamoja na JPM kuonekana ana mahaba na Mchechu na anafurahishwa na kazi yake mambo inasemekana sio shwari kwa baadhi ya vigogo ambao inasemekana wamemkabidhi Mkurugenzi barua za kuacha kazi.
Taarifa zinasema hali hiyo ya vigogo kuacha kazi inatokana na Mchechu kuwa mkali kupita kiasi kwa sasa. Inasemekana amewapiga chini kwenye vitengo nyeti baadhi ya wakurugenzi kwenye shirika hilo na kupangua pangua majukumu hali ambayo wengi wao hawaridhiki nayo.
Hali kadharika kuna vigogo wa shirika hilo wamekuwa wakihojiwa na vyombo vya dola kuhusika na tuhuma mbali mbali za ufisadi kwenye shirika hilo jambo hilo nalo linachochea kuacha kazi kwa vigogo hao mmoja wao inasemekana kashahamia NMB. Kubwa linalowakimbiza vigogo hao ni tuhuma mbali mbali zinazowakabili hasa ufisadi wa miradi mbali mbali ya shirika hilo.
Moja ya mradi unao onekana kuwa kaa la moto ni ujenzi wa Jengo lao la makao makuu ambalo insemekana ujenzi umegharim B19 na ukarabati wake yani Fnshng umelamba B15. Inasemekana vigogo hao wamekuwa wakihojiwa mara kwa mara na Takukuru juu ya sakata hilo na sasa watapandishwa kizimbani wakati wowote.
Soon nitawatajia vigogo hao stay tune
Kama ulipitwa click link ya chini.alikuwa analipwa 35 m?
asante nkuuKama ulipitwa click link ya chini.
www.jamiiforums.com/threads/mshahara-wa-nehemia-mchechu-wa-nhc-ni-usd-19-000-kwa-mwezi.779737/
Mbona wewe jamaa unamahaba sana na mbowe au ndo mumeo huwa anakugeuza siku nyingi sikuelewi kabisa bro au ndo mahaba hayoMbowe lazima wamlipe billions of money.
swissme
Ni mme wa mama yako ndio maana namahaba nae.Mbona wewe jamaa unamahaba sana na mbowe au ndo mumeo huwa anakugeuza siku nyingi sikuelewi kabisa bro au ndo mahaba hayo