Tetesi: Moto wa Rais Magufuli watua NHC

Mchechu kashapunguziwa mshahara wake kutoka 35 hadi 15?
Nasikia kalalamika kuwa maisha ni magumu mshahara wa milioni 15 kwa mwezi ni kiduchu watoto watapata shida. Pia inasemekana anadai kheri mshahara wa sh 200,000 kwa mwezi ni mkubwa kuliko sh milioni 15 kwa mwezi.Amelalamika sana,na kuomba "aongezwe" hadi angalau sh 250,000 kwa mwezi.
 
Wacha wachunguzwe maana wahindi ndio wanamiliki shilika kwa kutupandishia bei za kupanga hzo nyumba mbali na bei elekezi ya serikali yaani baada ya mtu kulipia Tsh 42000 kwa mwezi kulingana na bei ya serikali mhindi ananunua jengo zima anapandisha bei mpaka Tsh 500000 kwa mwezi
 
Watu wengine wanaendelea kuwahoji wenzao kwa tuhuma za ufisadi kwa kuwa wao ndio wenye nafasi ya kufanya hivyo kulingana na nafasi walizo nazo na wengi wao wanafanya hivyo kwa kujihami na Magufuli lakini na wachini Yao nao wangekuwa na uwezo wa kuwahoji na kuwachukulia hatua maboss wao siyo ajabu ukakuta hakuna boss ambaye angeweza kupona.
 
Nitacomment ukiishaweka majina.
 
Tetesi Zimebaki Tetesi; JF The Home Of Desperate People
 
Mbowe lazima wamlipe billions of money.


swissme
Mbona wewe jamaa unamahaba sana na mbowe au ndo mumeo huwa anakugeuza siku nyingi sikuelewi kabisa bro au ndo mahaba hayo
 
Mbona wewe jamaa unamahaba sana na mbowe au ndo mumeo huwa anakugeuza siku nyingi sikuelewi kabisa bro au ndo mahaba hayo
Ni mme wa mama yako ndio maana namahaba nae.


swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…