Moto wa Siasa Morocco: Tuhuma na Sauti za Siri Zabomoa Safu ya Muungano Kabla ya Kampeni

Moto wa Siasa Morocco: Tuhuma na Sauti za Siri Zabomoa Safu ya Muungano Kabla ya Kampeni

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
201
Siasa nchini Morocco zimeingia kwenye joto kali kufuatia majibizano na tuhuma nzito kati ya vyama vya serikali ya muungano kabla ya uzinduzi rasmi wa kampeni za uchaguzi wa bunge unaotarajiwa kufanyika Septemba 23, 2026. Mvutano huo umeongezeka zaidi kufuatia kuvuja kwa sauti iliyoanika migogoro na vita ya ushawishi wa mawaziri na wagombea kati ya vyama vikuu vya RNI, PAM, na Istiqlal.

Soma pia: Serikali ya Morocco Kufanya Mazungumzo na Vijana kushughulikia Malalamiko ya Maandamano

Tangu kufunguliwa kwa zoezi la usajili wa wagombea mnamo Agosti 31 katika Mji Mkuu Rabat na maeneo mengine nchini humo, Wizara ya Mambo ya Ndani tayari imepokea zaidi ya orodha 702 za wagombea kutoka vyama 27. Vyama vinakimbizana kukamilisha safu zao ili kupata kura za raia zaidi ya milioni 15.8 waliojisajili, kati ya watu milioni 25 waliotimiza umri wa kupiga kura.

Ushindani huu unalenga kupata viti vingi zaidi katika Baraza la Wawakilishi ili kutoa fursa kwa chama mshindi kuongoza serikali ijayo. Kwa mujibu wa Katiba ya Morocco, Mfalme humteua Waziri Mkuu kutoka chama kinachoshinda viti vingi, lakini kutokana na mfumo wa vyama vingi, chama hicho kitalazimika kufanya mazungumzo na kushirikiana na vyama vingine ili kuunda muungano imara bungeni kabla ya kampeni kuzinduliwa rasmi Septemba 10.

1788425100411.png


============

Morocco’s governing allies are trading accusations, politicians are switching camps and a leaked recording has exposed tensions at the top of the ruling coalition – all before the official campaign begins on September 10.

Moroccans are due to vote for a new parliament on September 23, with candidate nominations opening on August 31. By the afternoon of the first day, 702 candidate lists from 27 political parties had been submitted, according to the Interior Ministry.

About 15.8 million voters are registered for the election, according to the Interior Ministry, in a country of 36.8 million people, according to the 2024 census. The voting-age population is estimated at roughly 25 million, according to the High Commission for Planning (HCP).

The political contest is already under way, as parties finalise candidates, sharpen their messages and position themselves for a battle that will determine who has the strongest hand in forming the next government.

Source: Aljazeera
 
Back
Top Bottom