DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
moto ni miongoni mwa ajali zinazoweza wakati wowote.Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah mkuje mara moja!
moto ni miongoni mwa ajali zinazoweza wakati wowote.
ni vizuri kua wastahimilivu na wenye subra wakati vyombo husika vya kudhibiti majanga vikiendelea na kazi yao ya uokozi na kudhibiti janga hilo baya, na hatimae uchunguzi maalumu utabainisha chanzo cha janga hilo π