Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Leo Juni 15, 2026, moto umezuka katika moja ya nyumba zilizopo Mtaa wa Agrey, Kariakoo, Jijini Dar es salaam huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijafahamika.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamedai kuwa moto huo ulianza ghafla na kisha kusambaa kwa kasi ndani ya jengo husika.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limefika eneo la tukio na linaendelea na juhudi za kuudhibiti moto huo ili kuzuia usisambae kwenye majengo ya jirani.