INAUZWA Motorcycle for sale

countryboy me

Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
95
Reaction score
81
Super low fuel consumption

Brand: Sanya
Origin: Made in China

Technical specifications

Top speed: 80 km/hr
Start: Kick & Electric
Max weight: 120kg
Fuel capacity: 4 L
Displacement: 110cc(110ml)
Economic fuel consumption: 1.2 km/hr

BEI: 1,500,000 tu

IPO: MWANZA MJINI

Njoo jipatie chombo makini kilicho halali.

For more information: Nicheki inbox
 
braza hauko seriosu kabisa.

hiyo piki piki ikiwa mpya kabisa milion na laki 3


asa wewe unauza milioni ni laki tano used ........




hiyo size yake kwa sasa ni lki saba na s zaidi ya hapo
 
We ni dalali ? Maana ulaji wa mafuta wa vyombo vya usafiri hupimwa kwa mfano huu lita 1 inaenda kilometer 8,etc nashangaa unavyosema ulaji wa mafuta ni 1.2km/hr. Naona mapichapicha hapa

Mi mwenyewe nmejiuliza nikakosa majibu, 1.2km/hr? How?
 
Ikifika lak6 njoo nkupe pesa. Njoo nayo hapa Rock city mall nikatafutie kabsa box ili iwe zawadi ya wife kesho b.day yake.
 
Ikifika lak6 njoo nkupe pesa. Njoo nayo hapa Rock city mall nikatafutie kabsa box ili iwe zawadi ya wife kesho b.day yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu chukua 750 kama uko tayari biashara ifanyike this wkend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…