INAUZWA Motorcycle for sale

INAUZWA Motorcycle for sale

Nimetumia Sanya kwa Miaka 4 hadi pikipiki zilipokatazwa kutumika city centre... Safi sana hivyo vipikipiki ninacho kinahitaji matengenezo na makava yote yamepasuka mtu akileta laki nne nampa
 
Duh huyu mshikaji bwana,yaani 1.5M?unaijua bei yake ikiwa shop mkuu,inaenda mpaka kwa 1M na laki 2.5
 
We ni dalali ? Maana ulaji wa mafuta wa vyombo vya usafiri hupimwa kwa mfano huu lita 1 inaenda kilometer 8,etc nashangaa unavyosema ulaji wa mafuta ni 1.2km/hr. Naona mapichapicha hapa
Kwa hiyo pikipiki yake inakimbia sanaaa, kwa spidi ya 1.2km/saa.......Bora nitembee kwa mguu tu
 
Back
Top Bottom