Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Wadau na wapenzi wa hip hop kuna habari mpya inayo trend kwa sasa baada ya lile kundi la mziki wa hip hop (Kikosi Kazi) kutangaza battle na kundi au mtu yeyote hatimaye juzi ya tarehe 3 msanii wa Hip Hop motra the future kaja kujibu diss ya kikosi kazi kwa niaba ya weusi.
Nanukuu mistari ambayo imewagusa direct member wa kikosi kazi
Zaiid
Hii Dunia Ukitumia Wakati wako Vizuri Lazma Mambo Itajipa, Naongea Na Sad Generation Yenye Happy Pictures.../
Ukijiona Zaidi Fanya Ya Zaidi Kwa Uhakika, ili usidate hata Kama Wowowo Haijakulipa.../
Songa & Stereo
sawa Unaweza ukasonga bila fm walla stereo, ila Uwe na Juhudi , Mungu na kutumia akili.../
yooh ni kuchapa kazi kwa maadili, u pay mabill bro.../
Mansuli A.ka Sinza star
siwezi kuwa sinza star tu na kuna The bigg world Msione nimetulia mkafikiri mi ni kiande.../
mnataka kuharibu shughuli , kisa mmeona mambo pambe.../
hii ni keki ya taifa kila mtu ana kipande kwenye shamba la Upendo mwana Chuki usizipande.../
One the Incredible a.k.a Uno
wakati nyie mna hate wenzio wanavuka ma border, mnageuka misukule na hakuna aliyewaloga.../
Na kama unaleta ubishi na wakati hauna hoja, utabaki unajiita uno na hauwezi kuwa namba moja.../
Azma
Joh hawezi shuka eti kwa kupondwa na azma, mtu ambaye anaforce miaka kumi kutoka kwa lazma.../
Crew yenu mnafanana style kama mchele wa basmat, Ushafeli weka nguvu sasa kuikuza aznas.../
P-Mawenge
Ma Sean P wa Bongo na hamuafford kwa P funky, kwa Vile mmeleta mawenge tena kwa hii chance.../
Na sisi hatuwezi kuwapa uboy kwa hii country.../
Ila jamaa kapiga diss ya kibabe kidogo japo sijaona punchlines zinazomlenga nikki mbishi na kama zipo basi ni zile soft. Ngoja tuone hii battle itaendaje endaje maana kikosi kazi kwa kumlipua mtu wako vyema, weusi walisana