ROOM 47
JF-Expert Member
- May 23, 2022
- 2,301
- 7,460
Nashukuru ila jamaa kawanyooshaaa sana unazani kwenda nusu fanainal mchezmchezoWewe lala nani kakukataza? Muda huyu uko hapa mkeo analiwa huko na shambaboy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru ila jamaa kawanyooshaaa sana unazani kwenda nusu fanainal mchezmchezoWewe lala nani kakukataza? Muda huyu uko hapa mkeo analiwa huko na shambaboy
TenaUzi wako umesahau kuweka tukio la Berkane dhidi ya USMA ambayo imetokana na mambo ya kisiasa.
Mtoto wake ndiyo anaendesha team sawa lakini baba ndiye mwenye Mali hili liko waziYaani hii yote ni kukataliwa kwa goli la azizi ki ndio unamshushia hasira zako motsepe
Kwa taarifa yako motsepe sio mtendaji wa day to day activities za mamelodi unamuonea bure.
Pale ilitakiwa hao wote berkane na USMA wapigwe ban wawe mfano kwa wengine wanaoleta siasaUzi wako umesahau kuweka tukio la Berkane dhidi ya USMA ambayo imetokana na mambo ya kisiasa.
Yako mazuri anafanya kasoro zitakuwepo.Kwenye mambo ya headquaters tatizo ni funding CAF.Tatizo liliopo CAF nikuwa tumewaachia waarabu kwenye kufadhili shughuli za uendeshaji ndio maana wa nguvu kwenye utendaji wa CAF motsepe pekee yake hawezi.Ni lazima tuje kuwa na CAF isiyotegemea waarabu ndio tukuwa huru.Hili limzee bwana
Sote tunatambua kuwa urais wa CAF kuupata sio rahisi rahisi lazima uwe na pesa plus ushawishi mkubwa ..
Kwanza waarabu ndiyo wanakupitisha,
Yaani wakisema huyu hatumtaki basi hautoboi hapo,
So motsepe alilamba viatu vya waarabu kwanza plus pesa zake ndiyo akatoboa .
Hilo sio shida sana
Shida ni namna anavyoiendesha CAF kana kwamba mbususu ya mkewe!
Kwanza ni kuhusu hili sekeseke la CAFCC kutaka kuifuta ,
Pasipo wadau na wajumbe kukaza basi hili limzee lingeifuta tu, bila kuwaza mbali.
Hata hiyo AFL aliyoileta ni project ambayo ulaya wameikataa na failure project so huku wameona ndiyo wafanye test Africa na lenyewe limekubali hili limzee na macho yake kama limebanwa na mlango kwenye kidole.
Tulitegemea atakaposhika uongozi basi waarabu angalau watanyooka kidogo lakini ndiyo kwanza
MAKAO MAKUU YA ACA YALIYOKUWA KENYA SASA YATAHAMIA MOROCCO..!
Sasa angalau hata wangepeleka hata hapo Nigeria au ivory cost lakini kapeleka Morocco kwa waarbu why? Why kila kitu huko?
CAF headquarters in Egypt
ACA sasa ni Morocco..!
Draw na mambo mengine kama hayo ni Egypt..!
Sasa ndiyo tunaenda wapi?
Huyu mzee yaani mpaka karne hii kashindwa kufanya soka letu lichezwe fair bado kuna mambo ya kishamba yeye anachekela tu ..
Yanga walifanyiwa vurugu na USMA kule kwao wakati wa final siku moja kabla ya match.
Ball boys na macamera men walikuwa wanaficha mipira uwanjani mpaka aibu lenyewe linachekelea tu..
Na bado team yake ya mchongo mamelodi ikapita kijanja janja dhidi ya yanga wote nyie mashahidi akaacha.
Lakini Mungu sio athuman waarabu hao hao wamewafulumusha ...
KUHUSU AFL
Motsepe alitakiwa aongeze mashindano mengine na sio kufuta glad wajumbe waligoma CAFcc kufutwa sababu ya hiyo AFL..!
CAFCc inabeba team nyingi sana ndogo zikaoneshe uwezo wao , sasa team kama Dream fc zikacheze wapi?
Simba nao wakacheze wapi? Maana kuna uwezekano wakacheza CAFCc maana huko AFL watatolewa mapema tu..
Motsepe akimaliza muhula wake asepe na nashauri injinja HERSI SAID ashike nafasi yake kwa maslahi ya AFRICA sio ARABS...
Its Pancho
Yaani hii yote ni kukataliwa kwa goli la azizi ki ndio unamshushia hasira zako motsepe
Kwa taarifa yako motsepe sio mtendaji wa day to day activities za mamelodi unamuonea bure.
[emoji23]Uyoo Mtu humuwez wewe kajoe ulale ndugu utaumiza ubongo tu......
Sawa shabiki wa Yanga, lakini ujue pamoja na maelezo yoooooote hayo lile HALIKUWA GOLI HALALI!!Hili limzee bwana
Sote tunatambua kuwa urais wa CAF kuupata sio rahisi rahisi lazima uwe na pesa plus ushawishi mkubwa ..
Kwanza waarabu ndiyo wanakupitisha,
Yaani wakisema huyu hatumtaki basi hautoboi hapo,
So motsepe alilamba viatu vya waarabu kwanza plus pesa zake ndiyo akatoboa .
Hilo sio shida sana
Shida ni namna anavyoiendesha CAF kana kwamba mbususu ya mkewe!
Kwanza ni kuhusu hili sekeseke la CAFCC kutaka kuifuta,
Pasipo wadau na wajumbe kukaza basi hili limzee lingeifuta tu, bila kuwaza mbali.
Hata hiyo AFL aliyoileta ni project ambayo ulaya wameikataa na failure project so huku wameona ndiyo wafanye test Africa na lenyewe limekubali hili limzee na macho yake kama limebanwa na mlango kwenye kidole.
Tulitegemea atakaposhika uongozi basi waarabu angalau watanyooka kidogo lakini ndiyo kwanza
ISSUE YA BERKANE NA USMA KULETA UPUMBAVU WAO KWENYE SOKA..
Hawa wawili walitakiwa wawe funzo kwa wengine wanaoleta politics kwenye soka , hasa hawa USMA lakini mpaka kaona kwamba watu wamekuwa serious ndiyo katoa ban kwa USMA tangu game ya kwanza , kimsingi wote wawili walitakiwa kupigwa ban na fine Juu kabisa .
Halafu hebu imagine yanga au simba ndiyo hata wangegoma unadhani nini kingewapata kama sio kufungiwa hata miaka kumi kushiriki na hakuna kukata rufaa
Lakini unaona USMA kwa kujiamini wamepeleka kesi CAS kusishtaki CAF na Berkane..! What a move..!
Angejaribu yanga au simba mbona ingekuwa ndiyo break ya kufungiwa maisha?
Kismingi waarabu wana nguvu na ndiyo wanaicontrol CAF wao ndiyo marais motsepe chawa tu kazi yake kutimiza basi ..hana meno.
MAKAO MAKUU YA ACA YALIYOKUWA KENYA SASA YATAHAMIA MOROCCO..!
Sasa angalau hata wangepeleka hata hapo Nigeria au ivory cost lakini kapeleka Morocco kwa waarbu why? Why kila kitu huko?
CAF headquarters in Egypt
ACA sasa ni Morocco.
Draw na mambo mengine kama hayo ni Egypt.