Motsepe ndiye Rais wa CAF wa ovyo kuwahi kutokea

Dawa ni kuacha kushabikia mpira
 
Uzi wako umesahau kuweka tukio la Berkane dhidi ya USMA ambayo imetokana na mambo ya kisiasa.
Tena
Yaani hii yote ni kukataliwa kwa goli la azizi ki ndio unamshushia hasira zako motsepe
Kwa taarifa yako motsepe sio mtendaji wa day to day activities za mamelodi unamuonea bure.
Mtoto wake ndiyo anaendesha team sawa lakini baba ndiye mwenye Mali hili liko wazi

Hebu angalia baba yake MO dewji kamuachia makampuni lakini haina maana kuwa mzee hafanyi Mishe akiwa home ..

Lazima ampe mwanaye hint how to overcome circumstances
 
Jamaaa mbabe sana kawaona nyie wakuja kawazurumu goli hahaahahaha
 
Uzi wako umesahau kuweka tukio la Berkane dhidi ya USMA ambayo imetokana na mambo ya kisiasa.
Pale ilitakiwa hao wote berkane na USMA wapigwe ban wawe mfano kwa wengine wanaoleta siasa

Japo USMA ndiyo walileta uhuni tangu game ya kwanza mpaka kuahirishwa
 
Yako mazuri anafanya kasoro zitakuwepo.Kwenye mambo ya headquaters tatizo ni funding CAF.Tatizo liliopo CAF nikuwa tumewaachia waarabu kwenye kufadhili shughuli za uendeshaji ndio maana wa nguvu kwenye utendaji wa CAF motsepe pekee yake hawezi.Ni lazima tuje kuwa na CAF isiyotegemea waarabu ndio tukuwa huru.
 
Super league imekataliwa mabara yote. Ila motsepe anaikomalia sana iwepo africa halafu afute mashindano mengine

ULAYA UEFA wameikataa super league
AMERICA wameikataa super league
ASIA AFC wameikataa super league

AFRICA peke yake ndio motsepe ameikubali super league kwa ajili ya rushwa anazopewa na rais wa fifa.

Ukifuta confederatin cup maana yake unawanyima fursa timu za kati kati kama kina Namungo , Gor mahia, kucheza michuano ya africa.

Ligi zetu za ndani zitapungua ushindani
 
Yaani hii yote ni kukataliwa kwa goli la azizi ki ndio unamshushia hasira zako motsepe
Kwa taarifa yako motsepe sio mtendaji wa day to day activities za mamelodi unamuonea bure.

Mpira wa waarabu una investment kubwa as compared to black African countries . Ukimchukua Yanga na Kolo combined haifiki investment ya USM Alger

So Fanyenj investment kwanza

Hata goli la yanga kukataliwa ni sawa , alikuwa anataka kwenda wapi ? Kwa investment gani ?

Wacha hela ziende kwa Walio invest

Nyie pambaneni na NBC ya mchongo na maviwanja mabovu
 
Sawa shabiki wa Yanga, lakini ujue pamoja na maelezo yoooooote hayo lile HALIKUWA GOLI HALALI!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…