MoU zote 30 zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi Watanganyika wazisome,tusije kulala uchi kwa Mwarabu.

MoU zote 30 zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi Watanganyika wazisome,tusije kulala uchi kwa Mwarabu.

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Uaminifu umepungua kabisa kwa huyu Mama,na inawezekana amesaini mabaya zaidi,hivyo basi kabla ya kuendelea mbele MoU zote zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi, inawezekana tumeuzwa kama mbuzi ndani ya gunia.
 
Una hoja, kwa uvivu ule wa kuwaachia kila kitu wasaidizi lolote linawezekana chini ya huyu mpiga mwingi!.
 
Honorable causa anaupiga mwingi mpaka una mwagika,Mimi nashauri hata shirika letu la ndege tumpe mwarabu maana hatuwezi simamia kitu kikaleta ufanisi

NB:Mkataba na waarabu urekebishwe vifungu tata ile kuondoa sito fahamu
 
Back
Top Bottom