Mwande na Mndewa JF-Expert Member Joined Feb 26, 2021 Posts 1,117 Reaction score 3,153 Jul 3, 2023 #1 Uaminifu umepungua kabisa kwa huyu Mama,na inawezekana amesaini mabaya zaidi,hivyo basi kabla ya kuendelea mbele MoU zote zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi, inawezekana tumeuzwa kama mbuzi ndani ya gunia.
Uaminifu umepungua kabisa kwa huyu Mama,na inawezekana amesaini mabaya zaidi,hivyo basi kabla ya kuendelea mbele MoU zote zilizosainiwa Dubai ziwekwe wazi, inawezekana tumeuzwa kama mbuzi ndani ya gunia.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Jul 3, 2023 #2 Una hoja, kwa uvivu ule wa kuwaachia kila kitu wasaidizi lolote linawezekana chini ya huyu mpiga mwingi!.
Una hoja, kwa uvivu ule wa kuwaachia kila kitu wasaidizi lolote linawezekana chini ya huyu mpiga mwingi!.
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,200 Reaction score 12,762 Jul 3, 2023 #3 Honorable causa anaupiga mwingi mpaka una mwagika,Mimi nashauri hata shirika letu la ndege tumpe mwarabu maana hatuwezi simamia kitu kikaleta ufanisi NB:Mkataba na waarabu urekebishwe vifungu tata ile kuondoa sito fahamu
Honorable causa anaupiga mwingi mpaka una mwagika,Mimi nashauri hata shirika letu la ndege tumpe mwarabu maana hatuwezi simamia kitu kikaleta ufanisi NB:Mkataba na waarabu urekebishwe vifungu tata ile kuondoa sito fahamu