Kirusi cha aina yoyote ile ni 'natural' kwenye mazingira yeyote yale kwenye sayari hii. Hata kama kitakuwa na madhara kwa afya ya binadamu. Tofauti na uharibifu wa binadamu na viwanda vyake, magari n.k.
Kitambo tulikua tunatumia mikoa siku hizi walibadili baada ya katiba mpya Sasa hatutumii neno mkoa Tena official lakini tunalitumia kumaanisha eneo Fulani. Tunatumia county or gatuzi. Lakini unapoambia mtu mkoa wa Kati bila Shaka ataelewa ni wapi panazungumziwa