Mount Kenya inaonekana kutoka Nairobi

Mount Kenya inaonekana kutoka Nairobi

Kitambo tulikua tunatumia mikoa siku hizi walibadili baada ya katiba mpya Sasa hatutumii neno mkoa Tena official lakini tunalitumia kumaanisha eneo Fulani. Tunatumia county or gatuzi. Lakini unapoambia mtu mkoa wa Kati bila Shaka ataelewa ni wapi panazungumziwa
Kenya mnanichanganya sana, hivi ninyi mna nini hasa? Regions, count au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom