Mount Kilimanjaro is in Tanzania

Wakenya wote waione kwenye jaladaView attachment 1724724

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ningekuwa mimi ndiyo Rais Magufuli ningelivunjilia mbali shirika Hifadhi za mbuga za wanyama TANAPA kwa uzembe wanao ufanya wa kuto tumia vyomno vya kimataifa kuzitangaza mbuga zetu za wanyama na mlima wetu Kilimanjaro.

Hela zote TANAPA wanazo pata kupitia watalii wanao ingia Tanzani ili kuja kuangalia wanyama wetu na kuupanda mlima wetu Kilimanjaro, wanataka kuniambia wanashindwa kutoa matangazo ya mlima na mbuga zetu kwenye mitandao ya kimataifa kama BBC, CNN, CNBN, AL JAZEERA, DW na kadhalika? Kwani kuna gharama gani kutoa matangazo kwenye vyombo hivyo? Wahusika wa TANAPA wameaha fanya utafiti?

Kwa mtu ambaye anawajua wazungu vizuri nafikiri atakubaliana na mimi kuwa wanzungu wanaviamiki sana vyomno yvao vya Habari. Kwa hali hiyo ingekuwa busara kama shirika letu la hifadji za taufa TANAPA kama lingetumia nafasi hiyo ya wanzungu kuamini vyombo vyao vya habari, kutoa matangazo ya moja kwa kwenye vyombo vyao.
 
Kwamba tangia miaka ya 60's leo ndio mmejua kusoma ramani? [emoji1] Kila mtu anajua kwamba Ml. Kilimanjaro upo Tz. Ila ukitaka kuona 'the best views' za mlima huo hutazipata sehemu nyingine, isipokuwa Mbuga la Wanyama la Amboseli, Gatuzi la Kajiado, nchini Kenya. [emoji41] Pateni uhondo kidogo.
 
Amboseli National Park, Kenya. Home of the Best Views of Mt. Kilimanjaro. MAGICAL KENYA! [emoji41]
 
Amboseli National Park, Kenya. Home of the Best Views of Mt. Kilimanjaro. MAGICAL KENYA! [emoji41]
Kwahiyo huku hauonekani au sio, huko kwenu wataishia kuuona kwa mbaaaliii ila wakitaka kuu enjoy na kuupanda huu mlima ni lazima waje Tz, tunashukuru sana Wakenya kwa kututangazia mlima wetu, tunashukuru sana tunaomba muendelee hvyo hvyo ili gape la receipt from tourism sector lizidi kupanuka na kuongezeka maradufu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545]
 
Hizi nyuzi mtaanzisha kweli kweli, naona malumbano ya mahindi hayakutosha ku-deflect attention, mkakamata wamama wa Kimaasai Wakenya, sasa mumehamia kwa mlima Kilimanjaro...lakini bado Watanzania wamekomalia wanamsaka mkulu wao.

Labda niwashauri kwenye ubunifu, tafuteni kitu ambacho kitaburuza KOT waanze kuizungumzia Tanzania, kwa mfano anzisheni mgogoro wa kusema Mombasa iko Tanzania, hii itoke kwa kiongozi fulani labda mbunge wenu muongea hovyoo alianzishe, hapo KOT watawashukia na Watanzania watahangaika kujibu mapigo, nina uhakika kwa hili mtapata wiki zingine mbili hivi za kupindisha attention.

Pia niwashauri mataga na kuwapa matumaini, mkulu wenu ni fighter, mpambanaji na mbishi kweli kweli hivyo na hili pia atalishinda na mtashangaa pale ataibuka kuzindua kamradi sehemu, na akipewa mic aongee atamchamba sana mbelgiji.
 
Kwamba mmekuwa punguani mpk ss mmeanza kuvaa chupi kichwani, yn u dare comparing the giant Kilimanjaro with a gentle slope!!
Sasa kati yetu punguani ni ni nani? Rudi juu kwanza ukasome kinachojadiliwa kuhusu hili acha kujitoa ufahamu hapa
 
Inapendeza kwamba tumekumbuka shuka kabla hakujakucha...
 
Amboseli ni kuzuri sana jombaa. [emoji41] Acha majungu, Ml. Kili upo Tz, kila mtu anajua hilo, ila ukitaka kuuona mlima wenyewe vizuri lazima ufike upande wa Kenya kwenye Mbuga la Wanyama la Amboseli, au hata Kajiado. Upande wa pili view haipo sawa kama Amboseli, alafu kumejaa ndizi tu na miembe. [emoji1] Inaitwa nature, hamna namna, ukiwaza kuivuruga itakuwa ni sawa na kuziba jua kwa pazia ili miale yake isifike kwa jirani. [emoji38] Hebu ingia kwenye mitandao yeyote ya kutajika ya kiutalii, kwa mfano trip advisor, usome reviews za views za Ml. Kilimanjaro. Mlima huo na Amboseli NP ni kama mapacha, sio rahisi kuzitenganisha.
 
Unaumwa, Mt. Kenya ina theluji pia, alafu ipo kwenye ikweta kabisa. Maajabu ya Mungu.

In weather and climate we learnt about special conditions. E.g. Nairobi is in equator, but it has a cold weather.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…